• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchumi wa kenya umetingisika baada ya uamuzi wa Mahakama kuu

  (GMT+08:00) 2017-09-11 20:17:33

  Tangu uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu ushindi wa Rais Kenyatta, madhara makubwa kwa wawekezaji wa ndani na nje imeonekana .

  Uamuzi huo, umeoneka kukuja na athari mbaya kwa wafanyibiashara.

  Sekta ya matatu ndiyo ilikiuwa ya kwanza kudai kwamba inapoteza sh milioni 75 kila siku nchini kote.

  Chama cha Taifa cha Biashara na Viwanda pia imesema nchi inapoteza mabilioni kila siku kutokana na kutokuwa na uhakika.

  Soko la hisa la Nairobi pia imeripoti kupungua kwa Sh bilioni 92 karibu na Ijumaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako