• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: kampuni ya China kuanzisha kiwanda cha nguo nchini Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-09-11 20:24:38

    Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB) imetiasaini mkataba wa makubalaino (MoU) na kampuni ya Huajian Group, kampuni ya biashara na uwekezaji ya Kichina ya utengenezaji wa viatu.

    Kampuni hii ya kutengeneza viatu vya wanawake ambayo tayari imewekeza nchini Ethiopia, hivi sasa inatengenza viatu vyenye thamani ya zaidi ya dola milioni 30.

    Huajian hivi sasa imekodolea macho nchini za Afrika Mashariki Rrwanda ikiwa moja yao kuwekeza.

    Mmkataba waliosaini na Rwanda tayari umejenga matuamaini kwa wanapanga kuanzisha kiwanda ambacho kitazalisha viatu, nguo, mifuko, pamoja na vifaa vya umeme.

    Kulingana na Zhang Mkuu wa kampuni hiyo ya viatu, ni kwamba kampuni yake inapanga kuwekeza zaidi ya dola bilioni 1 kwa miaka 10 ijayo na kujenga nafasi za ajira zaidi ya 20,000.

    Katika kipindi cha miaka sita iliyopita (2011-16), Rwanda imeona idadi kubwa ya uwekezaji wa Kichina hasa katika maeneo ya utalii, mawasiliano na teknolojia, ujenzi, kilimo, viwanda na maendeleo ya miundombinu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako