• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mashindano ya wanawake ya kriketi Afrika: Uganda yaongoza ligi baada ya kuitwanga Kenya

  (GMT+08:00) 2017-09-12 08:57:00

  Timu ya waanawake ya kriketi ya Kenya imepoteza juhudi za kufuzu mashindano ya dunia ya kriketi yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2018, baada ya kukubali kupigo cha wiketi 6 toka kwa timu ya kriketi ya Uganda mchezo uliochezwa mjini Bulawayo nchini Zimbabwe.

  Kwa matokeo hayo, Uganda inaongoza ligi hiyo kwa kuwa na alama 6, Zimbabwe iko kwenye nafasi ya pili. Mchezo huo utaendelea leo kwa Kenya kumenyana na Zimbabwe, na Tanzania watakutana na Namibia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako