• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rafael Nadal amshinda Kevin Anderson michuano ya wazi ya tennis nchini Marekani

  (GMT+08:00) 2017-09-12 08:58:23

  Rafael Nadal ameshinda taji la michuano ya 16 ya wazi ya tennis kwa kumfunga Kevin Anderson wa Afrika Kusini jumla ya seti 6-3, 6-3 na 6-4 huko New York Marekani.

  Mhispania huyu, mwenye umri wa miaka 31, sasa ameshinda Slams mbili ndani ya mwaka mmoja kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2013, baada ya kushinda michuano ya wazi ya tennis yaliyofanyika nchini Ufaransa mwezi Juni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako