• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump wa Marekani ahudhuria kumbukumbu ya tukio la 9/11

    (GMT+08:00) 2017-09-12 09:00:45

    Rais Donald Trump wa Marekani amehudhuria shughuli za kumbukumbu ya miaka 16 ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11 zilizofanyika katika makao makuu ya wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, na kusema atafanya kila awezalo kulinda usalama wa wananchi wa Marekani. Akiongea kwenye hafla hiyo, rais Trump amesema maumivu ya tukio hilo yamekuwa kumbukumbu ya kitaifa ya Marekani, na kusisitiza kuwa hakuna nguvu yoyote inayoweza kuwagawa watu wa Marekani, na Marekani itahakikisha kuwa kundi la Al-Qaeda na makundi mengine ya kigaidi hayawezi kuishambulia tena Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako