• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu ya Uingereza (EPL) West Ham yailaza Huddersfield Town

  (GMT+08:00) 2017-09-12 09:01:49

  Timu ya West Ham United imeshinda mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuichapa Huddersfield Town magoli 2-0.

  West Ham walitumia vyema uwanja wao wa nyumbani, huku kipindi cha kwanza kikimalizika bila ya kufungana.

  Kiungo Muhispania Pedro Obiang alifungua pazia la magoli katika kipindi cha pili baada ya kufunga bao la kuongoza kabla ya Andre Ayew kuongeza bao la pili dakika ya 77.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako