• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanya maonesho ya picha kuhusu maendeleo ya haki za binadamu katika makao makuu ya UN Geneva

    (GMT+08:00) 2017-09-12 09:29:20

    Maonesho ya picha yaitwayo "Kwa ajili ya maisha bora ya watu" yanayoonesha maendeleo na mafanikio yaliyopatikana katika shughuli za kuhimiza na kulinda haki za binadamu nchini China, yalifunguliwa jana katika makao makuu ya Umoja wa mataifa mjini Geneva. Hayo ni maonesho ya kwanza ya aina hiyo kufanyika katika makao makuu hayo. Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho hayo, balozi wa China katika Umoja wa mataifa Bw. Ma Zhaoxu amesema China siku zote inatafuta maendeleo kwa kuzingatia maslahi ya wananchi wake, na kutimiza maendeleo kwa kutegemea wananchi wake na kwa ajili ya maisha bora ya watu wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako