• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kuhusu kusukuma mbele usimamizi wa uchumi duniani

  (GMT+08:00) 2017-09-12 18:51:39

  Mkutano mkuu wa awamu ya 71 ya Umoja wa Mataifa ulipitisha azimio la "Umoja wa Mataifa na usimamizi wa uchumi duniani" kwa mada kuhusu "mchango muhimu wa mfumo wa Umoja wa Mataifa katika utawala wa dunia", ambalo limezitaka pande mbalimbali kuboresha usimamizi wa uchumi duniani na kuimarisha mchango wa Umoja wa Mataifa kwa kufuata kanuni za "kujadiliana, kujenga na kunufaika kwa pamoja".

  Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema China itashirikiana na wajumbe mbalimbali wa jumuiya ya kimataifa, kuuhimiza mfumo wa usimamizi wa uchumi duniani uwe na haki na usawa, kutimiza mafanikio ya pamoja, na kuweka mazingira mazuri zaidi kwa kuhimiza amani na maendeleo ya pamoja ya dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako