• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Airtel Uganda, yapata ukuaji wa asilimia 85 mwaka 2016

  (GMT+08:00) 2017-09-12 18:52:05

  Uganda— Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano nchini Uganda Airtel Uganda, imepata ukuaji wa asilimia 85 mwaka 2016 huku ikiwa na faida ya shilingi bilioni 160.

  Faidha hiyo imechangiwa na kuongezeka kwa wateja wanaotumia uduma za kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu na kuboreshwa kwa huduma za kampuni hiyo.

  Ripoti ya kifedha ya kampuni hiyo inaonyesha inaonyesha kuwa mapato yake yamekua kutoka shilingi bilioni 69 mwaka 2015 hadi bilioni 160 za mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako