• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Ulaya watoa msaada kwa wenye mradi isochafua mazingira Uganda

  (GMT+08:00) 2017-09-12 18:52:31

  Kampala —Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Uganda Cedric Merel amesema wametenga dola milioni 100 kuwasaidia watu wanaowekeza kwenye ajira na miradi isiochafua mazingira.

  Merel aliyasema hayo akati akitoa vyeti kwa washindi tuzo za Eco-Inclusive wa Kenya na Uganda.

  Alisema hivi karibuni mkakati wa kuwa na miradi isiochafua mazingirautazinduliwa ili kuhakikisha kilimo cha kijani, miji na mazingira safi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako