• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TFF kufundisha makocha zaidi mikoani

  (GMT+08:00) 2017-09-13 08:14:41

  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeongeza juhudi za kufundisha makocha wa mpira wa miguu nchini humo ili kuongeza idadi ya walimu wa mpira wa miguu wanaopaswa kushiriki kwenye programu za maendeleo ya vijana za mikoa.

  Ofisa habari wa TFF, Alfred Lucas amesema kwa sasa, TFF kwa kushirikiana na mikoa ya Songwe, Lindi na Kigoma, zinaendeshwa kozi ngazi ya awali (Preliminary) na ngazi ya kati (Intermidiate).

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako