Msemaji wa Ruvu Shooting amesema wamepeleka malalamiko yao kwa kamishna wa mchezo wao wa jumapili kutokana na Kagera Sugar kumchezesha Adeyun Saleh ambaye hajamaliza mkataba wake na Stand United.
Amesema kuwa wanahitaji soka lichezwe kwa haki huku wakiamini kuwa kamishna huyo wa mchezo atawapeleka sehemu sahihi ili haki ipatikane. Matokeo ya mchezo huo yalikuwa sare ya 1-1.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |