• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mary Keitani ashinda mbio za Great North-Uingereza

  (GMT+08:00) 2017-09-13 08:15:20

  Bingwa wa mbio za marathoni za London, Mary Keitany ameshinda tena mbio za Great North kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kutumia muda wa 1:05:59 nchini Uingereza. Keitany alikamilisha mbio hizo za kilomita 21 mbele ya mwenzake Vivian Cheruiyot na Catherine Kiprikui alimaliza wa 3. Mbio hizo zilianzia Newcastle na kukamilika mjini South Shields zilishirikisha jumla ya wanariadha 12,000 duniani kote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako