• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • WHO yasema dhoruba ya Irma imeleta majanga makubwa duniani

  (GMT+08:00) 2017-09-13 09:27:06

  Ripoti iliyotolewa jana na Shirika ya hali ya hewa duniani WMO na Shirika la afya duniani WHO inasema dhoruba Irma imekusanya nguvu kubwa inayozidi jumla ya dhoruba nane zilizotanguliwa mwaka huu, na inatarajiwa kusababisha majanga makubwa kwenye visiwa vya Caribbean na jimbo la Florida nchini Marekani. Kwa mujibu wa WHO, dhoruba hiyo imesababisha vifo vya watu 12 nchini Marekani, na vifo vya watu 25 na wengine elfu 17 kupoteza makazi yao katika visiwa vya Caribbean.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako