• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kampuni ya teksi nchini Kenya yazindua operesheni mpya

  (GMT+08:00) 2017-09-13 19:01:27

  Kampuni ya Virscom ya Kenya leo imezindua app ya bei nafuu zaidi nchini humo, ShareCABTM ambapo madereva wa teksi hawalipi asilimia yoyote kwa huduma hiyo.

  Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni hiyo Mwakio Ngale amesema, madereva watapa fedha zaidi, lakini watumiaji hawatalipa zaidi, huku kwa kuchangia teksi, mteja anaweza kuokoa karibu asilimia 50 ya nauli.

  Huduma ya ShareCABTM inaungana katika soko na kampuni nyingine zinazotoa huduma hiyo ikiwemo kampuni ya Marekani ya Uber na Little.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako