• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapendekezo ya China yamekuwa maoni ya pamoja ya jumuiya ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2017-09-13 19:02:59

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema mapendekezo yanayotolewa na China yanaeleweka, kuungwa mkono na kuitikiwa na nchi nyingi zaidi, na yamekuwa maoni ya pamoja ya jumuiya ya kimataifa.

    Mkutano mkuu wa 71 wa Umoja wa Mataifa uliofungwa hivi karibuni umeamua kuweka kanuni ya "kujadili, kujenga na kunufaika kwa pamoja" iliyotolewa na China kwenye azimio la mkutano huo. Bw. Akizungumzia hilo, Geng Shuang amesema kanuni hii ilitolewa na China ili kuongoza utekelezaji wa pendekezo la ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na imepokewa vizuri na jumuiya ya kimataifa.

    Amesema China inapenda kushirikiana na jumuiya ya kimataifa, kusukuma mbele mageuzi ya utaratibu wa usimamizi wa dunia, ili kuzihudumia nchi mbalimbali vizuri zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako