• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bandari ya Mombasa Kenya yashuhudia ongezeko la mizigo kuanzia Januari hadi Julai mwaka huu

  (GMT+08:00) 2017-09-14 09:27:30

  Bandari ya Mombasa nchini Kenya imeshuhudia ongezeko la asilimia 11.9 la mizigo katika miezi 7 ya mwanzo ya mwaka huu, ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari Kenya Bibi Catherine Mturi-Wairi amesema kuanzia mwezi Januari hadi Julai mwaka huu, bandari hiyo ilipitisha tani milioni 17.52 za mizigo, kiasi ambacho kimeongezeka kutoka tani milioni 15.66 za mwaka jana wakati kama huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako