• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda yahimizwa kuboresha uratibu kati ya sera za kibiashara na kilimo

  (GMT+08:00) 2017-09-14 10:17:19

  Ripoti inayotangazwa na Shirika la chakula na kilimo duniani FAO imesema, kutokuwepo kwa uratibu kati ya sekta za biashara na kilimo nchini Rwanda, kunaathiri uzalishaji wa kilimo na biashara nchini humo.

  Ripoti inasema mashirika ya biashara na kilimo yanatakiwa kufanya ushirikiano ili kupata uratibu.

  Kwa mujibu wa ripoti hiyo, idadi kubwa ya wanyarwanda wanajihusisha na kilimo, lakini uzalishaji wa kilimo nchini humo unakwamishwa mara kwa mara na soko na vizuizi vya kibiashara. Ripoti inasema kuna uwezekano kuwa hali hii inatokana na ukosefu wa uratibu kati ya sera za kilimo na biashara, ambao si kama tu unaathiri uwezo wa nchi hiyo kwenye biashara ya kimataifa, na bali pia unakwamisha mchakato wa kutimiza usalama wa chakula na malengo ya maendeleo endelevu ya kutokomeza njaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako