• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe wa taifa wa China akutana na msaidizi na mshauri wa rais wa Marekani

  (GMT+08:00) 2017-09-14 16:35:36

  Mjumbe wa taifa wa China Bw. Yang Jiechi amekutana na msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia mambo ya usalama Bw. H. R. McMaster na mshauri mwandamizi wa rais Bw. Jared Kushner kwenye Ikulu ya Marekani.

  Pande hizo mbili zimekubali kuimarisha mawasiliano ya ngazi mbalimbali, kupanua ushirikiano, kufanya maandalizi ya ziara ya kiserikali ya rais Donald Trump nchini China itakayofanyika mwishoni mwa mwaka huu, na kusukuma mbele maendeleo mazuri ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako