• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 22 wauawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la muungano linaloongozwa na Marekani nchini Syria

  (GMT+08:00) 2017-09-14 16:37:17

  Watu 22 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la muungano linaloongozwa na Marekani nchini Syria katika eneo la makazi la mji wa Ar Raqqah na kaskazini mwa jimbo la Deir al-Zor.

  Habari zinasema, katika miezi ya hivi karibuni, mashambulizi ya anga ya jeshi hilo yameua mamia ya raia nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako