• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari 15 wajeruhiwa kutokana na mlipuko katika kituo cha kijeshi Marekani

    (GMT+08:00) 2017-09-15 09:15:06

    Askari 15 walijeruhiwa kutokana na mlipuko uliotokea wakati wanapewa mafunzo katika kituo cha kijeshi cha Fort Bragg, jimbo la Carolina Kaskazini nchini Marekani. Maofisa wa kituo hicho wamesema mlipuko huo ulitokea baada ya gari moja kupinduka ndani ya kituo hicho, na waliojeruhiwa wote ni makamando wa kikosi maalumu. Uchunguzi kuhusu tukio hilo bado unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako