• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco yajihakikishia tiketi ya robo fainali voliboli ya walemavu

    (GMT+08:00) 2017-09-15 09:46:26

    Mashindano ya voliboli ya walemavu kuwania ubingwa wa Afrika yameingia katika siku yake ya pili jana mjini Kigali timu ya Morocco ikiwa ya kwanza kujihakikishia tiketi ya robo fainali. Mechi iliyomalizika Morocco imeilima Afrika Kusini seti 3-0.Ushindi huu unafuatia ushindi mwingine wa Morocco ni pale ilipoizaba Kenya seti 3-0 za 25-21,25-19 na 25-18.

    Mchezaji wa Kenya James Mang'erere alikiri kuzidiwa maarifa. Juzi usiku pia Rwanda iliikandika Afrika kusini seti 3-0 25-10, 25-16 na 25-17. Upande wa wanawake Misri ilichapwa na Kenya seti 3-2 huku Rwanda ikiichakaza DRC seti 3-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako