• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa salamu za pongeza kwa mkutano wa ubora wa bidhaa mjini Shanghai

    (GMT+08:00) 2017-09-15 17:42:39

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pongezi kwa mkutano wa pili wa ubora wa bidhaa unaofanyika leo mjini Shanghai China.

    Rais Xi amesema, mkutano huo unalenga kusukuma mbele ushirikiano wa kuongeza ubora wa bidhaa wa kimataifa, ambalo limeonesha matarajio ya watu ya kuishi vizuri zaidi. Amesema China inaendelea kuzingatia na kuongeza ubora wa bidhaa na huduma ili kujitahidi kutoa bidhaa bora kwa dunia.

    Rais Xi pia anatarajia wajumbe kutoka nchi mbalimbali watabadilishana uzeofu wa kuendesha makampuni na kuhimiza maendeleo ya uchumi kwa kuongeza ubora wa bidhaa ili kuboresha maisha ya watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako