Hata hivyo Njoroge hakutaja tarehe sheria hiyo itakapobadilishwa lakini amewahakikishia wawekezaji kuwa Kenya inalenga kuegemea sera za kutilia mkazo soko na kuwa sheria ya kubana riba wanazotoza ilikuwa ni ya muda tu kufuatia ukosefu wa nidhamu uliokuwepo kwenye soko la mikopo wakati huo. Mwaka jana, bunge la Kenya lilipitisha mswada wa kubana riba za banki hadi asilimia 4 hatua ambayo ilipongezwa na wakenya na kupingwa na bebki nchini humo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |