• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dubai ndogo kujengwa Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-09-15 18:16:44
     

    China inalenga kujenga kituo cha kisasa cha kibiashara katika eneo la Ubungo ambacho kitakuwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za kibiashara na mahitaji ya nyumbani.Pindi kituo hicho kitakapokamilika kitalifanya jiji la Dar es Salaam kuwa Dubai Ndogo ya Tanzania. Ujenzi huo unatarajiwa kuanza mwaka huu na kukamilika baada ya miezi 15. Kitakuwa tofauti na soko kuu la Kariokor na kitakuwa na zaidi ya maduka 3000, maghala madogo zaidi ya 300 na eneo lenye uwezo wa kuhifadhi magari 5000. Waziri wa viwanda biashara na uwekezaji wa Tanzania Bw Charles Mwijage amesema kitakuwa na kituo cha uwekezaji nchini Tanzania.Jumla ya ajira elfu 20 zinatarajiwa kuzalishwa na kituo hicho. Kituo hicho kinajengwa na kampuni ya China LingHang na kusimamikwa na serikali ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako