• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa aitaka jumuiya ya kimataifa itilie maanani suala la haki ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2017-09-15 19:35:29

    Mwandishi maalum wa ripoti ya suala la haki ya maendeleo wa Umoja wa Mataifa Bw. Saad Alfarargi amesema jumuiya ya kimataifa inatakiwa kutilia maanani suala la haki ya maendeleo, na mashirika husika ya Umoja wa Mataifa yanatakiwa kutoa kipaumbele katika kazi ya kutimiza haki hiyo.

    Kwenye ripoti yake ya kwanza iliyowasilishwa kwenye baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa, Bw. Saad Alfarargi amesema Umoja wa Mataifa ulipitisha Azimio la Haki ya Maendeleo zaidi ya miaka 30 iliyopita, lakini bado mamilioni ya watu duniani hawapati haki hiyo, na wanaathiriwa vibaya na maafa za kimaumbile na msukosuko wa kifedha. Ametoa wito kwa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali ya nchi mbali mbali kutangaza zaidi haki ya maendeleo, ili kuongeza ufahamu kuhusu haki hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako