• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yahimiza kuimarisha nguvu ya kushughulikia haki za binadamu

     

    (GMT+08:00) 2017-09-16 18:08:10
    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Ma Chaoxu jana kwenye mkutano wa 36 wa kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, kwa niaba ya nchi 140, ametoa taarifa ya pamoja ya "Kuimarisha mazungumzo na ushirikiano katika masuala ya haki za binadamu, na kuunda jumuiya ya mustakabali ya pamoja ya binadamu wote", na kuihimiza jumuiya ya kimataifa kuanzisha mazungumzo na ushirikiano wa kiujenzi katika masuala ya haki za binadamu, na kuimarisha nguvu ya kushughulikia masuala hayo, ili kuhimiza shughuli za haki za binadamu duniani zipate maendeleo endelevu.

    Taarifa hiyo imetoa mapendekezo manne ikiwemo kufuata kanuni ya katiba ya Umoja wa Mataifa, kuheshimu ukamilifu wa mamlaka na ardhi ya kila nchi, na njia na mfumo wa jamii ilizozichagua na juhudi na mafanikio yake ya kuendeleza haki za binadamu, kushikilia mazungumzo na mawasiliano kuhusu masuala ya haki za binadamu. kushikilia njia ya ushirikiano na mafanikio ya pamojana kuendeleza haki za binadamu kwa kupitia kupungua umaskani. La tano ni kuendeleza haki za binadamu kwa kupitia maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako