• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Niger yarefusha hali ya dharura ili kukabiliana na tishio la ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-09-17 18:29:31

    Serikali ya Niger Ijumaa ilitoa taarifa ikisema kuwa kwa ajili ya kukabiliana na tishio la ugaidi, hali ya dharura kwenye mkoa wa Diffa na mikoa 6 ya magharibi mwa Niger itarefushwa kwa miezi 3 kuanzia tarehe 18.

    Taarifa hiyo ilisema kuwa kundi la Boko Haram liliendelea kutishia mkoa wa Diffa, na pia makundi ya kigaidi kwenye nchi jirani zikiwemo Libya na Mali yalisababisha changamoto kubwa kwa usalama wa eneo la Sahel, hivyo ni lazima kurefusha hali ya dharura kwenye maeneo hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako