• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Mataifa ya Afrika 2017: Timu ya mpira wa mikono ya Rwanda kuanza maandalizi

    (GMT+08:00) 2017-09-18 08:37:04

    Timu ya wavulana wa volleyball ya Rwanda itaanza maandalizi jumatano hii kwa ajili ya mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa mwaka 2017 na michuano ya kufuzu kucheza kombe la dunia ya volleyball kwa wanaume mwaka 2018 itakayoanza Oktoba 20-30 nchini Tunisia.

    Rwanda imekamilisha nafasi ya pili nyuma ya Kenya katika mashindano ya kufuzu kucheza kombe la mataifa ya Afrika yaliyofanyika mwezi uliopita nchini Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako