• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tp Mazembe, FUS Rabat na Mc Alger zang'ara robo fainali ya Caf Confedaration

    (GMT+08:00) 2017-09-18 08:37:32
    Tp Mazembe wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Al Hillal ya nchini Sudan katika robo fainali ya kwanza ya Confederation Cup.

    Al Hilal ilianza kupata bao katika dakika za mwanzo za mchezo huo kupitia kwa Mohamed Tahir kabla ya Malango kuisawazishia Mazembe na kwenda mapumziko bao 1-1, kipindi cha pili dakika ya 83 Malango aliipatia bao la ushindi Mazembe.

    Katika robo fainali nyingine FUS Rabat walitoka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Cs Sfaxien. MC Alger nao wakiwa nyumbani waliichakaza Club African bao 1-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako