• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Golovkin ayanusuru mataji yake baada ya sare na Alvarez

    (GMT+08:00) 2017-09-18 08:38:18

    Usiku wa kuamkia jana nchini Marekani kumepigwa pambano ndondi kati ya Canelo Alvarez alivaana na Gennady Golvkin katika uwanja wa T Mobile nchini huko katika pambano ambalo lilimalizika kwa kutokuwa na mbabe baada ya majaji kuamua matokeo ni sare.

    Mashabiki 22,358 waliojitokeza walishuhudia Golovkin akibaki na mikanda yake ya WBC,WBF na WBO katika ngazi ya middleweight.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako