• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 31 wa Baraza la kupambana na ugaidi la Jumuiya ya SCO wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:02:34

    Mkutano wa 31 wa Baraza la kupambana na ugaidi la Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai SCO ulifanyika jana hapa Beijing, na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi wanachama na kamati tendaji ya kupambana na ugaidi ya kikanda. Mkutano huo umepitia hali ya ushirikiano chini ya utaratibu wa kikanda wa kupambana na ugaidi katika kipindi kilichopita, na kupitisha mpango wa utekelezaji wa siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako