• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani asema Marekani inafikiria kufunga ubalozi wake nchini Cuba

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:02:54

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Rex Tillerson amesema Marekani inafikiria kufunga ubalozi wake nchini Cuba, baada ya wafanyakazi 21 katika ubalozi huo kuonesha dalili mbaya za kiafya, ambazo Marekani inaona zinatokana na mashambulizi, licha ya kuwa haijapatikana zana yoyote inayoweza kusababisha madhara kwa wafanyakazi wake karibu na ubalozi huo. Baada ya kutokea kwa tukio hilo, Marekani iliwafukuza wanadiplomasia wawili wa Cuba Mei 23. Cuba imetoa taarifa ikisema kufukuzwa kwa wanadiplomasia wake hakuna msingi wowote, na imeanzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako