• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 300 wa IS wauawa katika mashambulizi ya anga magharibi mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:03:30

    Jeshi la Iraq limesema mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya kundi la Islamic State kwenye maeneo ya magharibi mwa Iraq, yameharibu vituo vingi vya kundi hilo na kuwaangamiza wapiganaji 306. Kabla ya hapo, vikosi vya usalama vya Iraq vilifanikiwa kuwaondoa wapiganaji wa kundi hilo kutoka miji ya Ramadi na Fallujah, lakini maeneo yaliyoko karibu na mpaka wa Syria na maeneo ya vijijini mkoani humo bado yanadhibitiwa na kundi la IS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako