• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Norway yatafuta nafasi za kuwekeza kwa sekta ya kawi Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-09-18 18:06:51

    Ujumbe wa maafisa kutoka kampuni kumi nchini Norway umefanya ziara chini Rwanda kutafuta nafasi za uwekezaji katika sekta ya kawi.

    Ujumbe huo ulikuw pia unahudhuria halfa ya kawi kati ya Rwanda Norway.

    Kuna nafasi kubwa ya uwekezaji kwenye sekta ya kawi nchini humo kwani hadi sasa ni asilimia 35 tu ya watu walio na huduma za umeme huku Rwanda ikilenga kuunganisha hadi asilimia 70 mwaka ujao na asilimia 100 mwaka 2024.

    Mkurugenzi wa halmashauri ya maendeleo nchini humo Emmanuel Hategeka amesema hadi sasa kuna vinasa jua 200,000 kote nchini humo kusaidia uzalishaji wa kawi.

    Rwanda inalenga kuzalisha hadi megawati 563 ifikapo mwaka 2018 kutoka kiwango cha sasa cha megawati 208.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako