• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Nakumatt yasaini makubaliano ya kuungana na Tuskeys

    (GMT+08:00) 2017-09-18 18:07:58

    Maduka makubwa ya Nakumatt nchini Kenya ambayo yamekumbwa na mzozo wa kifedha yamesaini makubaliano ya kuungana na yake ya Tuskeys nchini humo.

    Makubaliano hayo ya kuungana yanatarajiwa kuisaidia Nakumatt kufufua biashara yake baada ya kufunga matawi yake mengi sio Kenya tu lakini pia na nchi jirani.

    Tuskeys itaipa wasimamizi Nakumatt na pia bidhaa za kuendelea kuuza kwani baadhi ya maduka yaliosalia hayana bidhaa za kutosha.

    Wakti huo huo Nakumatt imefunga tawi lake la TRM katika barabara ya Thika mjini Nairobi kwa kile ilichosema ni kufanya hesabu za ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako