• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mombasa Beach kupewa shilingi milioni 150 za kuikarabati

    (GMT+08:00) 2017-09-18 18:08:25

    Serikali ya Kenya itaipa hoteli ya Mombasa Beach shilingi milioni 150 ili kuisaidia kuboresha huduma na kuongeza vyumba vya kulala.

    Hoteli hiyo inamilikiwa na halmashauri ya utalii nchini humo na ina vyumba 150.

    Maneja mkuu wa hoteli hiyo Victor Shitakha, tayari wametoa tangazo la kutafuta mkandarasi atakayefanya ukarabati.

    Hoteli hiyo ilipata umaarufu baada ya aliyekuwa rais wa DR cOngo wakati huo ikiitwa Zaire Mobutu Sese Seko, kulala humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako