• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya mpira wa kikapu ya UBA: Stone town yaibamiza JKU

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:06:09
    Mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu UBA umechezwa kwenye viwanja vya Maisara wilaya ya mjini Zanzibar kati ya Stone Town na JKU.

    Timu ya Stone Town imeibamiza JKU jumla ya vikapu 49-45 katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa baina ya timu zote mbili kucheza mchezo wa kujihami zaidi.

    Wakati huo huo, pazia la msimu wa ligi kuu soka visiwani Zanzibar linatarajiwa kufunguliwa rasmi leo kwa mchezo wa ngao ya jamii kati ya JKU na Miembeni City mchezo utakaochezwa uwanja wa Amaan mjini Unguja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako