• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha: Mkenya akamata nafasi ya kwanza huku Mtanzania akishika nafasi ya tatu

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:06:36
    Mwanariadha wa Tanzania Ismail Juma ameweka rekodi mpya katika half marathon jijini Mattoni nchini Jamhuri ya Czech akimaliza katika nafasi ya 3 akitumia dakika 59:30.

    Mbio hizo zilifanyika katika mji wa Carlsbad magharibi mwa Bohomia kilomita 130 kutoka mji mkuu wa Prague. Nafasi ya kwanza imechukuliwa na mwanariadha wa Kenya Barselius Kipyego aliyetumia dakika 59:14

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako