• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya taifa ya ngumi ya Tanzania kujipima Uganda na Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:06:56
    Timu ya taifa ya ngumi imeingia kambini tayari kwa maandalizi ya michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika April mwakani nchini Australia.

    kocha wa timu hiyo David Yombayomba amesema wapo kwenye maandalizi na tayari timu imeshapatikana na mazoezi yanaendelea kwenye uwanja wa ndani wa taifa ambapo wanatarajia kujipima na timu mbalimbali zikiwemo kutoka Kenya na Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako