• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wayne Rooney akiri kosa, ahukumiwa kutoendesha gari miaka miwili na kufanya kazi za kijamii

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:08:02
    Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya England Wayne Rooney amehukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili sambamba na kufanya kazi za jamii kwa saa 100.

    Rooney alikamatwa kwenye kitongoji cha Wilmslow, Cheshire kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa Septemba 1. Rooney pia atalipa faini ya Pauni 170 kwa kosa hilo. Mchezaji huyo ameomba radhi kwa familia yake, klabu yake ya sasa Everton na mashabiki wa soka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako