• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China wazungumza kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:37:15

    Rais Xi Jinping wa China na mwenzake wa Marekani Bw. Donald Trump wamezungumza kwa njia ya simu kuhusu ziara ya rais Trump nchini China na suala la peninsula ya Korea. Kwenye mazungumzo yao, rais Xi amesema China na Marekani zina maslahi mengi ya pamoja na zimeshuhudia msukumo mzuri wa ushirikiano katika maeneo yote. Kwa upande wake rais Trump amesema ana matarajio na ziara yake nchini China, kwa matumaini ya kuendeleza zaidi uhusiano wa pande mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako