• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaendeleza nishati ya nyukilia kwa wazo la mantiki na uratibu

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:38:07

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la nishati ya atomiki la China Bw. Tang Dengjie amesema China siku zote inafuata wazo la usalama wa nyuklia linalosisitiza mantiki na uratibu wakati wa kuendeleza shughuli zake za nishati ya nyuklia, na kuwa China inaunga mkono Shirika la kimataifa la nishati ya atomiki IAEA kuchukua nafasi muhimu ya uongozi kwenye ushirikiano wa kimataifa wa usalama wa nyuklia. Bw. Tang Denjie amesema hayo jana alipohutubia ufunguzi wa Mkutano wa 61 wa Shirika la kimataifa la nishati ya atomiki IAEA uliofunguliwa mjini Vienna.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako