• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchunguzi unaendelea mjini London kufuatia mlipuko kwenye kituo cha subway

    (GMT+08:00) 2017-09-19 09:02:09

    Polisi nchini Uingereza inawahoji watuhumiwa wawili wanaoaminika kutega bomu lililotengenezwa kwa mkono kwenye kituo cha subway mjini London Ijumaa na kusababisha watu 30 kujeruhiwa.

    Mmoja wa watuhumiwa hao ni mkimbizi kutoka Iraq mwenye umri wa miaka 18 anayeaminika kutega bomu, na mwingine Yahya Farroukh mwenye miaka 21 kutoka Syria, wote wawili walikamatwa na polisi Jumamosi. Timu ya wachunguzi bado ipo kwenye bustani ya nyumba iliyopo Stnawell, Surrey ambako watuhumiwa hao wawili wanaaminika kulelewa. Ngazi ya hatari ya tishio la shambulizi la kigaidi ilishushwa Jumapili muda mfupi tu baada ya mtuhumiwa wa pili kukamatwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako