• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 15 wauawa katika shambulizi la kujitoa muhanga Nigeria

  (GMT+08:00) 2017-09-19 09:14:57

  Mlipuko wa kujitoa mhanga ulitokea jana katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria na kusababisha vifo vya watu 15.

  Ofisa mmoja wa usalama amesema mshambuliaji alijilipua karibu na umati wa watu katika eneo hilo.

  Timu ya waokoaji imepelekwa kwenye eneo la mlipuko ili kuwaokoa wahanga wa shambulizi hilo.

  Kundi la kigaidi la Boko Haram linashukiwa kuhusika na mlipuko huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako