• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yawataka raia wale walio nje kuwekeza nyumbani

    (GMT+08:00) 2017-09-19 18:21:15

    Makamu wa rais wa Uganda Edward Ssekandi ametoa wito kwa Waganda wanaoishi ncje ya nchi kuwekeza nyumani kwani sasa kuna mazingira mazuri ya kufanyia biashara.

    Ssekandi aliyasema hayo wakati wa mkutano wa 7 wa Uganda na Uingereza mjini London.

    Alisema ruwaza ya IUganda ya mwaka 2020 ya kuzalisha utajiri kwa watu wote inaweza kufikiwa ikiwa wananchi wote watachangia.

    Naye mjumbe wa kibiashara wa Uingereza kwa Uganda na Rwanda, Lord Dolar Popat, alisema nchi yake itaendelea kuiunga mkono Uganda katika juhudi za kuongeza uwekezaji nchini humo.

    Alisema ijapokuwa kuna kampuni kubwa za Uingereza ziko nchini Uganda, lakini bado kuna zaidi ambazo zitazuru nchini humo kutafuta nafasi za kuwekeza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako