• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka ya wanawake: Tanzanite yarejea Dar kujipanga kwa mchezo wa marudiano na Nigeria.

    (GMT+08:00) 2017-09-20 08:42:57

    Timu ya soka ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, ijulikanayo kama Tanzanite, imewasili nchini Tanzania ikitokea Nigeria ambako ilicheza mechi ya awali dhidi ya wenyeji Nigeria katika mchezo wa kuwania kucheza fainali za kombe la dunia 2018 huko Ufaransa.

    Kocha mkuu wa timu hiyo, Sebastian Nkoma, amesema walipoteza mchezo wa awali kwa kufungwa mabao 3-0 kwa sababu Nigeria ni timu bora na Tanzanite kwa sasa wanajipanga kwa ajili ya mchezo wa marudiano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako