• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndondi wanawake: Zarika aenda Marekani kujiandaa kwa pambano na Mzambia

    (GMT+08:00) 2017-09-20 08:44:04
    Bingwa wa dunia uzani wa super-bantam wa chama cha WBC, Fatuma Zarika wa Kenya, ameondoka jana kuelekea Las Vegas, Marekani, kwa mazoezi ya kujiandaa kutetea ubingwa wake dhidi ya Catherine Phiri wa Zambia utakaopigwa Desemba 2 jijini Nairobi.

    Alitwaa ubingwa wa dunia mwezi Januari mwaka jana kwa kumshinda Yazmin Rivas wa Mexico, na akapoteza taji hilo mwezi wa nne mwaka huu aliposhindwa kwa pointi na Mariana Juanez.

    Catherine ameshinda mapigano 13, 7 kwa KO na akashindwa mara mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako