• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nyota chipukizi 25 wanawania tuzo Ulaya 2017

    (GMT+08:00) 2017-09-20 08:44:34

    Jumla ya nyota chipukizi 25 wa soka barani Ulaya wametangazwa jana kuwania tuzo ya Europe Golden Boy 2017 ambapo majina, Rashford, Mbappe na Dembele yameonekana kuongoza orodha hiyo.

    Tuzo ya Europe Golden Boy hutambua kijana mwenye kipaji zaidi cha soka barani Ulaya chini ya umri wa miaka 21. Kylian Mbappe ambaye alifanya vizuri msimu uliopita akiwa na Monaco msimu huu amehamia PSG na Ousimane Dembele alifanya vizuri msimu uliopita akiwa na Borrusia Dortmund kabla ya kuhamia Barcelona ndio wanatajwa sana huenda wakatwaa tuzo hiyo ambayo itatolewa mwezi Oktoba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako