• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaongoza duniani kwa teknolojia ya mawasiliano ya kidijitali

    (GMT+08:00) 2017-09-20 09:19:12

    Katibu mkuu wa Umoja wa mawasiliano ya habari wa kimataifa ITU Bw. Zhao Houlin amesema China imekuwa moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa teknolojia ya mawasiliano ya kidijitali, na inabeba matarajio makubwa ya dunia kwenye eneo hilo. Bw. Zhao amesema shughuli za mawasiliano ya habari ni moja ya injini kuu za maendeleo ya kijamii na kiuchumi, na kwamba ITU inaitarajia China itatoa mchango mkubwa zaidi katika kueneza teknolojia ya mawasiliano ya habari duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako